Frequently bought together:
Description
English
Boys’ Shirt in the Navy Checks design. Wear it with jeans for a casual outing, or pair it with trousers for family lunches and celebrations.
Contact Toto Junction on WhatsApp at +255 764 938 686 to check available sizes and order.
Kiswahili
Shati la Wavulana, muundo wa miraba ya rangi ya bluu ya bahari. Shati hili linaendana na jinzi kwa matembezi ya kawaida, au suruali kwa chakula cha pamoja na familia na sherehe.
Wasiliana na Toto Junction kupitia WhatsApp +255 764 938 686 kujua saizi zilizopo na kuagiza.